Kuhusu FADEMO

Tunaanza. Tunakamilisha. Pamoja.

Family Development Motivators

Mfumo mmoja wa ulinzi, uwekezaji na maarifa.

FADEMO ni mfumo wa huduma za maendeleo ya familia unaowaunganisha wanachama, wawekezaji, taasisi, ambassadors, waandishi na wanunuzi wa vitabu. Teknolojia yetu inarahisisha ada, mafao, hisa, malipo, elimu, publishing na ufuatiliaji wa huduma.

WanachamaWawekezajiTaasisiAmbassadorsWaandishiWanunuzi wa Vitabu
Maendeleo ya familiaUlinzi wa afyaMipango ya muda mrefu
Dira yetu

Familia zenye uchumi imara.

Kuwa taasisi inayoongoza Tanzania katika huduma zinazojenga familia zenye uchumi imara na kuchangia taifa lenye maendeleo endelevu.

Utume wetu

Huduma rahisi, wazi na zenye matokeo.

Kutoa ulinzi wa kijamii, fursa za uwekezaji, elimu ya fedha na huduma za kidigitali zinazoweza kufikiwa na watu binafsi pamoja na taasisi.

Tunu zetu

Misingi ya kila huduma

Mteja Kwanza
Uadilifu
Weledi
Uwazi
Ushirikiano
Mshikamano
Makao makuu na mawasiliano

Tupo Dodoma, tunakuhudumia kidigitali.

Mtaa wa Ujiji/Tabora, Kata ya Viwandani, Jengo la Mkamba Uhindini, Dodoma.

Simu0767 285 417 / 0768 201 749
Barua pepeinfo@fademo.co.tz
Tovutiwww.fademo.co.tz